WATOTO

UBATIZO: MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA, MIRIAM CHIRWA AMKIRI BWANA YESU KWA KUBATIZWA

Muimbaji wa nyimbo za injili MIRIAM CHIRWA amempokea yesu kwanjia ya  ubatizo wa maji Mengi, katika ubatizo uliofanyika jumamosi Tar 25/02/2017, katika kanisa la waadventista wa sabato Temeke jijini Dar es Salam.

Ambapo aliambatana na watu zaidi ya 50 waliojitoa kubatizwa kutokana na Mkutano mkubwa  wa injili unaoendelea jijini Mwanza ujulikanao kama  USHINDI HATIMAYE unaosimamiwa na kanisa la waadventista wa sabato kupitia  chama cha wanataaluma na wajasiriamali (ATAPE),

Mahubiri hayo yanarushwa mubashara kutoka katika kanisa la waadventista wasabato Mabatini Mwanza kupiti vituo mbalimbali vya Television na Radio ambavyo ni Morning star Tv na Radio, Star Religion .
Picha/Hbari na  ABG ONLINETV

WEKA MAONI YAKO HAPA
Tags
Show More

Injilileo

Fahamu mengi juu yetu hasa habari za injili, matukio mbalimbali pia shiriki kwa kututumia habari kila siku.

1 thought on “UBATIZO: MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA, MIRIAM CHIRWA AMKIRI BWANA YESU KWA KUBATIZWA”

Leave a Reply

Close