MATUKIOWAIMBAJI

Rwanda: Waimbaji wa Ambassadors of Christ, familia na marafiki washiriki furaha ya Mr & Mrs Nelson Manzi

Furaha ya wawili hawa kuungana na kuwa mwili mmoja iliwafanya ndugu, jamaa na marafiki toka sehemu mbalimbali kujumuika pamoja nao na kushiriki ndoa takatifu ilifungwa siku ya Jumapili 15 October, 2017 nchini Rwanda pamoja na mambo mengine, kumekuwepo na huduma ya uimbaji toka kwaya mbalimbali ikiwemo kwaya anayoimbia Nelson ya Ambassadors Of Christ.

WEKA MAONI YAKO HAPA
Tags
Show More

Injilileo

Fahamu mengi juu yetu hasa habari za injili, matukio mbalimbali pia shiriki kwa kututumia habari kila siku.

5 thoughts on “Rwanda: Waimbaji wa Ambassadors of Christ, familia na marafiki washiriki furaha ya Mr & Mrs Nelson Manzi”

Leave a Reply

Close