injilileoTVMAFUNDISHOMATUKIOVIJANA

“Tunakatisha tamaa kauli hasi juu mahari kwa vijana wakati wa kuoa”-Mchungaji Nziku

Pengine limekuwa suala gumu kwa vijana hasa kwenye hatua ya kuamua ni kwa nama gani hafla ya kujipongeza mara baada ya kufunga pingu za maisha yaani (NDOA). Kumekuwa na mitazamo mbalimbali juu ya suala hili wengine wakishauriwa iwe hafla/sherehe ghari yenye thamani kila mmoja aone kilichofanyika, lakini wengine wakisema ni iwe kawaida, Mchungaji Nziku ametoa ushauri hapa, na kusisitiza jambo fulani huku kanisa nalo likiwa na sehemu yake..
MSIKILIZE HAPA MCHUNGAJI NZIKU AKISEMA MACHACHE YA KUSAIDIA

KAMA ULIKOSA VIDEO YA MCHUNGAJI NZIKU JUU YA KUFUATA UTARATIBU WA KANISA KWENYE SUALA LA KUOA, MSIKILIZE HAPA

WEKA MAONI YAKO HAPA
Tags
Show More

Injilileo

Fahamu mengi juu yetu hasa habari za injili, matukio mbalimbali pia shiriki kwa kututumia habari kila siku.
Close