KIMATAIFAMATUKIOVIJANAWAIMBAJI

Picha 6: Muimbaji wa kwaya ya Ambassadors of Christ, Nelson Manzi leo afunga pingu za maisha na Eunice Irakiza

Nelson Manzi akiwa na mke wake Eunice Irakiza mapema leo katika kanisa la Kigali English SDA Church nchini Rwanda katika ibada ya harusi yao.
Nelson Manzi akiwa na mke wake Eunice Irakiza mapema leo katika kanisa la Kigali English SDA Church nchini Rwanda katika ibada ya harusi yao.
Nelson Manzi akiwa na dada Sara leo katika ibada ya harusi ya Manzi na Eunice

Pongenzi kwenu wapendwa toka nchi ya Rwanda kuamua kufunga pingu za maisha na kuwa mwili mmoja. Katika kanisa la Kigali English SDA Church leo kumefanyika tukio la kuwaunganisha wapendwa hawa, na Mchungaji Ezra Mpysi alifanya huduma hii, na sasa ni mke na mme. Mungu awaongoze katika maisha yenu haya mapya.

WEKA MAONI YAKO HAPA
Show More

Injilileo

Fahamu mengi juu yetu hasa habari za injili, matukio mbalimbali pia shiriki kwa kututumia habari kila siku.
Close