MAHUBIRIMATUKIO

Picha: Mapema mchana huu umefanyika ubatizo katika kanisa la Kirumba sda na watu 150 wamempokea Bwana kwa njia ya ubatizo

Mchungaji Lutonja alipokuwa akitoa maelezo kwa wabatizwa leo.

Ni habari njema ya kunenepesha mifupa, watu 150 leo hii wamempokea Bwana kwa njia ya ubatizo ni baada ya mahubiri ya Tmi yanayoendelea katika vituo mbalimbali kwa kanisa la waadventista wa sabato. Pamoja na mambo mengine, mchungaji Lutonja ambaye ndiye Mchungaji wa mtaa wa Kirumba aliwaelekeza namna ya kuingia majini na jinsi watakavyo batizwa leo kabla ya zoezi hilo kufanyika. Mungu ni mwema na ombea wapendwa hawa wakastawi na kukua katika kumpendeza Mungu.

WEKA MAONI YAKO HAPA
Tags
Show More

Injilileo

Fahamu mengi juu yetu hasa habari za injili, matukio mbalimbali pia shiriki kwa kututumia habari kila siku.

1 thought on “Picha: Mapema mchana huu umefanyika ubatizo katika kanisa la Kirumba sda na watu 150 wamempokea Bwana kwa njia ya ubatizo”

Leave a Reply

Close