WAIMBAJI

KILA JAMBO LINA MWANZO, HII NI MAANA NA MWANZO WA JINA LA KIKUNDI CHA SONDA YA DIHLU

on

 Maana ya jina SONDA YA DIHLU

 

 Ni Nyota ya asubuhi kiswahili kiingereza Ni morning star
Na jina hili lilikuja baada ya njozi ya Vijana wawili Elisha Barnabas na mwenzake Samweli Kiraryo kuwa na njozi yakutaka kuimba nyimbo za kilugha tu.
Ndipo walipo liita kundi jina Hilo. Ni lugha ya kisukuma, hatukupendelea kuwa na majina yakizungu Ili kuenzi nyumbani.
WEKA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you

1 Comment

  1. injili

    March 11, 2017 at 10:31 pm

    Mbarikiwee

Leave a Reply

Your email address will not be published.