injilileoTVMATUKIOWAIMBAJI

VIDEO: Hivi ni kweli Mwalimu Kibaso haifundishi tena kwaya ya Kurasini Sda??

Mwalimu mkongwe katika tasnia ya nyimbo za injili nchini Tanzania ambaye amekuwa mahiri kwa ufundishaji wake na uongozaji wake wa kwaya ya Kurasini wakiwa jukwaani, Samson Kibaso amejibu swali juu ukimya wa muda mrefu wa kwaya hiyo uliopelekea uvumi ya kwamba kwaya hiyo kwa sasa haifundishwi na Kibaso. Pia kuna matoleo haya mapya kwa sasa, hivi karibuni yatakuwepo sokoni.

WEKA MAONI YAKO HAPA
Tags
Show More

Injilileo

Fahamu mengi juu yetu hasa habari za injili, matukio mbalimbali pia shiriki kwa kututumia habari kila siku.
Close