injilileoTVWAIMBAJI

Video mpya ya Ambassadors Ilala SDA imetoka, itazame hapa na barikiwa.

Waimbaji vijana toka kwaya mabalozi, Ambassadors of Christ ya kanisa la Ilala sda wameitoa rasmi video yao ya “NIUMBE UPYA” na kwa mara kwanza video kutambulishwa hapa injilileoTV na kazi kufanywa na Shua Media, Director akiwa Abishua Mganga na Audio akiwa ni Jackson Vancuva.

WEKA MAONI YAKO HAPA
Tags
Show More

Injilileo

Fahamu mengi juu yetu hasa habari za injili, matukio mbalimbali pia shiriki kwa kututumia habari kila siku.
Close