TEKNOLOJIA

Mkutano wa Gain kufanyika Brazil Agosti 9-13,2017, wajumbe 20 toka Tanzania wameshawasili kwenye mkutano huo.

Habari njema hii kwamba wajumbe wa mkutano wa mawasiliano na teknolojia na habari kwa kanisa la Waadventista Wa Sabato Tanzania wameshawasili Dubai tayari kuanza mkutano huo unaotarajiwa kuanza siku ya Jumato Agost 9 mpaka 13, 2017..

Tunamshukuru Mungu tumefika Brazil Salama , Tayari kuanza mkutano ya GAiN itakayo anza kesho ,mpaka sasa jumla ya wajumbe 750 kutoka nchi 81 wamejisajili kuhudhuria mikutano hii, ambapo lengo kubwa nikujifunza njia zakimawasiliano zitakazo wezesha injili kusonga mbele kwa kazi zaidi. Mzidi kutuombea ili tujifunze vyema na kuja kufundisha wengine kwaajili ya mafanikio ya kazi ya Bwana.“Mchungaji Izungo Mwenyekiti wa mawasiliano ECT ambaye ni mmoja wa wajumbe walifika Dubai aliadika hivi

WEKA MAONI YAKO HAPA
Tags
Show More

Injilileo

Fahamu mengi juu yetu hasa habari za injili, matukio mbalimbali pia shiriki kwa kututumia habari kila siku.
Close