WAIMBAJI

Waimbaji wa Ellen Evangelist Singers kufanya Kongamano la uimbaji mwisho wa mwezi huu

on

Waimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Ellen Evangelist Singers wenye makao yao Dar Es Salaam lakini huduma hii ya uimbaji ilianzia Simiyu na mwezi huu tarehe 30 July,2017 watakuwa na Kongamano la uimbaji likienda sambamba na uchangiaji wa kazi ya Mungu. Panga kuwepo.

WEKA MAONI YAKO HAPA

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published.