WAIMBAJI

Barikiwa na wimbo mpya toka kwa waimbaji wa Coheleth Singers toka Kibaha Tanzania

Coheleth maana yake ni muhubiri toka neno la Kilatin na waimbaji hawa wahubiri toka Kibaha Tanzania waliweza kutunga wimbo wenyewe kwa kushirikiana nao ni;-1.Gwirisha Mjema
2.Erick Mang’era
3.David Pongolela
4.Elly Mchome
5.Emmanuel Tunzo
6.Mussa Michael
7.Danny Obure
8.Tumain
9.Yohana
10.Maige
11.Emily

                                     DOWNLOAD AUDIO  HAPA

Upate pia wimbo huu kwa Youtube hapa

WEKA MAONI YAKO HAPA
Show More

Injilileo

Fahamu mengi juu yetu hasa habari za injili, matukio mbalimbali pia shiriki kwa kututumia habari kila siku.
Close