WAIMBAJI

Video mpya ya SITETELEKI ya Angel Benard imeshatoka hii hapa

on

Bwana huwa mwaminifu kwa wenye haki, na huwalinda kwa kila hali na kuwaonesha yapi ya kufanya katika raha shida, ndani ya wimbo hii kuna sehemu za majaribu na kukatishwa tamaa kwa Angel lakini mwisho wa siku alisimama na kumtetea Bwana.

WEKA MAONI YAKO HAPA

Leave a Reply

Your email address will not be published.